Guardiola kumtoa Mourinho United ?
Mchezaji nguli wa zamani wa Manchester United Eric Cantona amesema anamkubali kocha wa timu hiyo Jose Mourinho lakini anapenda kuiona klabu yake hiyo ya zamani inacheza kama kikosi cha Pep Guardiola, Manchester City.