Kigwangalla awachana wanaosema vyuma vimekaza Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Hamisi Kigwangalla amesema maisha yataendelea kuwa magumu kwa watu wasio na shughuli maalum ambao wamezoea kuishi kwa ujanja ujanja. Read more about Kigwangalla awachana wanaosema vyuma vimekaza