Rais aapa kulipiza kisasi Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi, ameapa kujibu mashambulizi kwa nguvu kubwa kufuatia kuuwawa kwa watu 235 hapo jana msikitini huko Sinai kaskazini wakati wa ibaada ya Ijumaa. Read more about Rais aapa kulipiza kisasi