Isha atuma maombi kwa wasanii
Muimbaji wa muziki wa Taarabu nchini Isha Mashauzi amewaomba wasanii wote wa kike Tanzania kuachana na mavazi yanayowafanya kubaki utupu na kuwataka wadumishe utamaduni wa kiafrika na siyo kuiga hali ambayo amesema inatia aibu.