Mahakama Tanzania sasa kwenda kidijitali
Serikali ya Tanzania kupitia Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma amesema hawaitaji tena kuendelea kupata aibu katika kuendesha kesi ndani ya Mahakama zilipo nchini kwani kwa sasa watatumia mfumo mpya wa tehama kuhifadhi jalada mbalimbali.