"Sitalalamika tena najua nitakavyofanya"-Rais JPM
Rais John Magufuli amewapa pole Majaji kwa changamoto wanazokumbana nazo pindi wanapo shughulikia mashitaka yanayopelekwa na serikali na kuahidi kulifanyia kazi jambo hilo kabla ya mwezi Februari kuisha kwa madai ameshajifunza vya kutosha.