Iran ilivyoondoshwa kwenye Kombe la Dunia Kikatili

Timu ya Taifa ya Iran

Ndani ya saa 24 zilizopita, Iran wamepitia matukio ya kusisimua na ya kuhuzunisha.Walifunga bao la dakika za mwisho dhidi ya Misri na kuamini wamefuzu hatua ya mtoano, lakini baada ya ukaguzi wa VAR, bao hilo lilikataliwa na wakashuka hadi nafasi ya tatu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS