Jeuri ya Kocha Mfaransa wa Simba

Kocha Mfaransa Pierre Lechantre hakuwahi kudumu na timu zaidi ya mwaka mmoja, wakati huo Klabu ya Simba nayo imekuwa na kawaida ya kutokudumu na kocha kwa kipindi cha mwaka mmoja au zaidi katika miaka ya hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS