CUF ya Lipumba waiangukia Serikali
Uongozi wa chama cha wananchi CUF umeiomba ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kukinusuru chama hicho na hatari ya kufa na kukosa uwezo wa kujiendesha kutokana na kuzuia kwa ruzuku ya chama hicho tangu mwaka 2016 ulipoibuka mgogoro wa kiuongozi katika chama hicho.