Timu yatozwa faini baada ya Paka kuingia uwanjani Klabu ya Besiktas imetozwa faini na Uefa baada ya Paka kujitosa uwanjani wakati wa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Bayern Munich mwezi Machi mwaka huu. Read more about Timu yatozwa faini baada ya Paka kuingia uwanjani