Leicester City wamtaka kocha wa Liverpool
Klabu ya Leicester City kutoka nchini England, imeonesha nia ya kumtaka kocha wa zamani wa klabu ya Liverpool, Brendan Rodgers ili kumrithi kocha wa sasa Claude Puel katika msimu ujao wa Ligi kuu England 2018/2019.