Mwenyekiti wa UVCCM apata ajali Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Kheri James, amepata ajali kwenye msafara wake Wilayani Meatu Mkoani Simiyu alipokuwa akitoka Mkoani humo kuelekea Shinyanga. Read more about Mwenyekiti wa UVCCM apata ajali