''Alikiba ni mkali kuliko wote' - Julio

Kocha  wa Dodoma FC Jamhuri Kihwelo maarufu 'Julio', amesema amekuwa akijitahidi kutaka kumsajili kwenye timu yake nyota wa muziki wa Bongofleva Alikiba kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza soka kuliko wachezaji wa Simba na Yanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS