Mwakyembe aeleza thamani ya Yanga kwa Tanzania
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amewasisitiza wanachama wa klabu ya Yanga kutoichukulia timu hiyo kimzaha na kwamba wanapotetereka msisimko wa michezo pia unakufa kwa kukosa ushindani.