Timu 5 zisizo na uzoefu Kombe la Dunia 2018 Kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2018 zinazoanza Alhamisi juni 14 nchini Urusi, yafuatayo ni mataifa ambayo wachezaji wake wamechezea mechi chache zaidi katika timu zao hivyo kuwa na uzoefu mdogo. Read more about Timu 5 zisizo na uzoefu Kombe la Dunia 2018