Nondo na wenzake waibukia Bugando Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), wameuomba uongozi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Afya Bugando, kuwarudisha chuoni wanafunzi 10 waliofukuzwa na kusimamishwa chuo kutokana na sababu mbalimbali. Read more about Nondo na wenzake waibukia Bugando