Mechi tano zilizoacha alama kombe la Dunia
Ikiwa zimebaki siku nne kabla ya kuanza kwa mashindano ya kombe la Dunia nchini Urusi, kampuni ya michezo Gracenote imetoa michezo mitano ya kombe la Dunia ambayo ilitoa matokeo ambayo hayakutarajiwa na wapenzi wa soka.