Spika aomba 'uvumilivu' wa kidini Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka watanzania kuwa na uvumilivu wa masuala ya kidini ili nchi iendelee kuwa na amani, utulivu na maendeleo. Read more about Spika aomba 'uvumilivu' wa kidini