Kikwete, Mecky Sadick na wengine wateuliwa Yanga

Klabu ya soka ya Yanga kupitia Mkutano wake Mkuu wa mwaka, uliofanyika kwenye Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam, imepitisha mabadiliko na kuteua kamati maalum kwaajili ya kuivusha timu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS