Hatimaye Yanga yapata mrithi
Baada ya Yanga kutuma barua ya kuomba kujitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame, hatimaye shirikisho la soka kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), limekubali ombi hilo na kuipa nafasi timu ya Vipers kutoka nchini Uganda.