Deni la Taifa laongezeka kufikia trilioni 49

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, amesema mpaka kufikia April 2018 deni la Taifa limeongezeka na kufika trilioni 49.6 ambapo ni sawa na ongezeko la asilimia 13.4 ukilinganisha na deni la mwaka 2017 trilioni 43.7.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS