Singida United wachukua kifaa kingine Klabu ya soka ya Singida United, imemsajili mshambuliaji Eliuter Herman Mpepo ambaye msimu uliopita aling'aa akiwa na klabu ya soka ya Tanzania Prison. Read more about Singida United wachukua kifaa kingine