"Shaa hayupo sawa Kisaikolojia" - Master J
Mtayarishaji wa Muziki Mkongwe, Joachim Kimaro, Master J ameweka waazi kwamba kwa sasa mwanamuziki, Malikia wa uswazi, Shaa, hayupo sawa kisaikolojia kutokana na matatizo aliyoyapitia hapo nyuma ikiwa kumpoteza mama yake mzazi ndiyo maana amekaa kimya kwenye 'game'.