Magufuli amteua Jaji Lubuva Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Jaji Mstaafu, Damian Zefrin Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Read more about Magufuli amteua Jaji Lubuva