Amuua mme wake na kumzika kwa siri

Mwanamke mmoja nchini Uganda, Dina Ainomugisha  amekamatwa na Polisi kwa kosa la kushirikiana na ndugu zake kumuua mume wake na kumzika kwa siri kwa kile kilichodaiwa ni ugomvi wa mali za familia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS