Serikali yaipa angalizo TFDA Nembo rasmi ya mamlaka ya Chakula na dawa TFDA. Serikali ya awamu ya tano imeitaka Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kuwa chachu ya uchumi wa viwanda hususani katika kuzalisha dawa hapa nchini ili kupata matokeo chanya katika hatua ya kuinua uchumi wa viwanda. Read more about Serikali yaipa angalizo TFDA