Ozil ashinikizwa kuiacha timu ya taifa
Baba wa kiungo mshambuliaji wa Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani, Mesut Ozil amemshinikiza mchezaji huyo kuacha kuchezea timu ya taifa baada ya alichodai kuwa ni mashambulizi ya maneno kutoka kwa mashabiki wa nchi yake .