Lugola apingwa kwenye tela, apewa ushauri
Baada ya Kauli ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Kangi Lugola kudai kuwa amedhamiria kumaliza tatizo la ajali za barabarani kwa kufunga matela kwenye pikipiki, baadhi ya wanaharakati wamepingana na wazo hilo wakidai kuwa haliwezi kuwa suluhisho kwa kuwa hao madereva wengi wana elimu ndogo -