Rais Magufuli awasihi Mabalozi
Rais Dkt. John Magufuli amewasihi Mabalozi watatu waliomaliza muda wao wa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini Tanzania wawaeleze watakaokuja kuchukua nafasi hizo kuendeleza ushirikiano mzuri uliopo baina ya nchi hizo na Tanzania.