Bwege awafungukia wapinzani Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini (CUF), Selemani Bungara ‘Bwege' Mbunge wa jimbo la Kilwa Kusini (CUF), Selemani Bungara ‘Bwege’ amesema kuwa vyama vya upinzani vinapaswa kushikamana kwa ajili ya mafanikio katika uchaguzi wowote utakaofanyika nchini. Read more about Bwege awafungukia wapinzani