Lissu angepewa uwaziri wa Katiba na Sheria Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara 'Bwege' (CUF), ameweka wazi kuwa endapo angekuwa Rais wa nchi basi asingeweza kumuacha Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, katika baraza lake la mawaziri. Read more about Lissu angepewa uwaziri wa Katiba na Sheria