Magufuli afanya uteuzi Jeshini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amemteua Naibu Kamishna wa Magereza Phaustine Kasike kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza. Read more about Magufuli afanya uteuzi Jeshini