Muigizaji akabidhiwa fainali ya Kombe la Dunia
Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA), limeweka wazi mwamuzi atakayechezesha mchezo wa fainali ya kombe la dunia kati ya Ufaransa dhidi ya Croatia, itakayopigwa jumapili Julai 15 kwenye uwanja wa Luzhniki jijini Moscow Urusi.