"Atakuwa Mwanasiasa dhaifu sana" Mch. Msigwa
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji. Peter Msigwa ameweka wazi kwamba kama kuna mwanasiasa atakayekuwa anashindwa kufanya siasa kwa sababu ya kuwepo na sheria za kufanya mikutano basi mtu huyo atakuwa mwanasiasa dhaifu.