Simba hatarini kutokamilisha usajili
Klabu ya soka ya Simba huenda ikashindwa kukamilisha usajili wa kiungo mkongwe wa Mtibwa Sugar Hassan Dilunga, kutokana na kutofikia makubaliano na klabu yake mpaka sasa licha ya awali kuelezwa kuwa nyota huyo amesaini Simba kwa miaka miwili.