Serikali yatengua kauli Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Atashasta Nditiye. Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Atashasta Nditiye ametengua katazo la wananchi kuzuiwa kupanda meli ya serikali hadi wawe na vitambulisho vya uraia au cha mpiga kura jijini Mwanza. Read more about Serikali yatengua kauli