Bobi Wine adai maisha yake yapo hatarini
“Unajua hatari tunayokabiliana nayo kutoka kwa vyombo vya usalama, kwa sababu hiyo nimeamua kuvaa koti la kuzuia risasi. Wenzangu wengi wamekuwa na wasiwasi na tumepata taarifa kwamba ninaweza kulengwa. Sijisikii salama kwa sababu ya koti hili lakini tunajaribu kufanya tuwezavyo"

