Young Killer ampa onyo 'Young' mwenzake
Baada ya msanii kutoka Temeke Young Tuso kumchana Young Killler kuwa ni miyeyusho, mzinguaji na aliwahi kumnyima collabo, Killler ameongea na eNEWZ leo hii na kumuonya Tuso kuwa awe ana nidhamu na muda wa wasanii wenzake.