Waziri awashika pabaya wakuu wa Mikoa
Waziri wa ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Suleiman Jaffo amezitaka Halmashauri zipatazo 14 nchini ambazo zimekusanya mapato yake chini ya asilimia 50 kujieleza kwa Waziri huyo kwa kutofikia malengo ya ukusanyaji wa mapato.