Aliyemkalisha Ajibu wa Yanga atoa ahadi kwa taifa
Mshambuliaji wa Mbeya City Eliud Ambokile ambaye leo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu soka Tanzania bara mwezi Septemba, amesema lengo lake si kuisaidia Mbeya City tu bali anajituma ili asaidie taifa.