Uamuzi wa TFF wapingwa, Simba na Yanga zatajwa Vilabu mbalimbali vya ligi kuu Tanzania bara vimeonesha kutoridhishwa na uamuzi wa Shirikisho la Soka nchini TFF wa kuwatumia wachezaji wake huku ratiba ya ligi kuu ikiendelea kama kawaida. Read more about Uamuzi wa TFF wapingwa, Simba na Yanga zatajwa