Manara awapigia magoti Yanga

Kushoto ni msemaji wa Yanga Dismas Ten na msemaji wa Simba Haji Manara.

Baada ya jana klabu ya soka ya Yanga kuweka wazi kuwa tayari, imeshamshtaki kwenye kamati ya nidhamu ya TFF pamoja na Bodi ya ligi mchezaji James Kotei wa Simba kwa kitendo chake cha kumpiga ngumi Gadiel Michael, Haji Manara ameungana na Kotei kuomba msamaha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS