Jambazi Sugu lakamatwa likitorokea Uganda

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza Jonathan Shana.

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kumtia nguvuni mtu mmoja aitwaye Peter Thomas Nyanchiwa, anayedaiwa kuwa jambazi sugu, akiwa ameiba gari na kutaka kutoroka nalo kwenda kuliuza nchini Uganda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS