Kassim Mganga kuhusu 'Umwinyi' na kuhama Tanga Kassim Mganga Mkali wa nyimbo za mahaba ambaye yeye mwenyewe binafsi alijipachika jina la (Tajiri wa Mahaba), Kassim Mganga, amekubali kuwa yeye ni moja ya wasanii 'Mamwinyi' kwenye muziki wa Bongofleva. Read more about Kassim Mganga kuhusu 'Umwinyi' na kuhama Tanga