Makonda aomba radhi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Changamoto za mradi wa mabasi ya mwendokasi jijini Dar es salaam zimemuibua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na kulazimika kuwaomba radhi wananchi waliokuwa wakilalamikia kero za usafiri huo hivi karibuni.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS