''Pancho alini-DM na ningejikosea sana'' - Barakah
Msanii wa Bongofleva, Baraka the Prince ameshindwa kuachia ngoma zake nne alizopanga kuzitoa leo kutokana na msiba wa 'producer' Pancho Latino, ambaye amefariki jana kwenye ajali ya maji kisiwa cha Mbudya kilichopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.