"Mkuu wa Mkoa umeniwahi, una bahati" -JPM

Rais Dkt. John Magufuli.

Rais Dkt. John Magufuli ameshangazwa na ufukwe wa Coco (Coco Beach) ulioko pembezoni mwa Bahari ya Hindi jijini Dar es salaam kutokuwa na choo wakati eneo hilo zinakusanywa fedha kila siku.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS