Balozi wa Tanzania, avujisha siri kuhusu Simba
Ni ngumu kwa viongozi wa serikali kuweka wazi mapenzi yao kwa klabu za soka hususani zenye wafuasi wengi kama Simba na Yanga lakini Balozi wa Tanzania nchini eSwatini, Joseph Ndalawa amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Simba.