Waziri Mpango awapiga marufuku TRA

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amepiga marufuku Mamlaka ya Mapato nchini TRA kuwafungia wafanyabiashara, biashara zao kwasababu ya madeni ya kodi wanayodaiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS