Mvua yabomoa Zahanati na nyumba 157 kwa saa 1 Mvua ikinyesha Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Rukia Muwango, amethibitisha kuharibika kwa takribani nyumba 157 kwenye wilaya yake, baada ya kunyesha kwa mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali. Read more about Mvua yabomoa Zahanati na nyumba 157 kwa saa 1